Monday, August 18, 2014

NewEngland Umoja
Kaka vipi salama huko pole na kazi Nilikuwa naomba unirushie ujumbe huo hapo chini tafadhali Natanguliza shukurani zangu
Familia ya ndugu Martin Kibusi na Steven kibusi inasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpendwa Lucia Kibusi kilichotokea August 15/2014 boston MA. Msiba upo nyumbani kwake Martin 364 Main st Apt 6 Reading, MA 01867.mipango ya kusafirisha mwili kwenda Tanzania inaendelea,tunaomba ushirikiano wenu wa hali na mali kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na Martin Kibusi 16179436400 Steven kibusi. 16173142910 Margareth Pelelwa Shauri 7816326161 Mapi Andrew Mwankemwa 857 251-8881 Vilevile unaweza kutuma mchango kwa,Martin Richard Kibusi Bank of America Account number 4648847964 Tunashukuru sana kwa ushirikiano wenu.

0 comments:

Post a Comment