Tuesday, August 12, 2014

Argatha Loswash ni mtangazaji wa NBS TV katika jiji la Kampala ndiyo anaetesa pande hizo kwa kuwa na umbo lenye mvuto wa kibantu.
Tanzania ni huyu Masogange ndiyo anagonga medias kwa umbo lake tata. 
Kenya hii ndiyo habari ya mjini Vera Sidika
Vera katika pozi za kimitege anasema mwili wake umekaa kibiashara zaidi.
Masogange na mwenyewe ndiyo hivyo hivyo kikazi zaidi.
Argatha Kampala wanatafutana pia.

0 comments:

Post a Comment