Friday, August 1, 2014

At one point we were all made to believe kwamba Conrad anayetuhumiwa kumuua Mfanya biashara maarufu hapa bongo Ayoub Mlay kwamba he was kind of untouchable dude, maana kuna wanaodai kumuona kwa macho akimuua kwa kumpiga Risasi Marehemu Ayoub ndani ya Club ya Ambrosia Mbezi. Alikamatwa kama mtuhumiwa na kukaa rumande kama Mwezi mmoja tu habari zikapatikana kwamba ameachiwa yupo huru, habari hizo zilipelekea wananchi wengi kulalamika kwenye mitandao ya kijamiii akiwemo hata Waziri mmoja wa zamani wa CCM maarufu sana hapa mjini ambaye ni rafiki wa wote wawili yaani Ayoub na Conrad. Jana taifa zima tumezinduliwa na picha za kutatanisha zinazomuonyesha Mtuhumiwa ambaye at one time alidaiwa kuwa invinsible au untouchable akionja joto ya jiwe ya sheria ya bongo so I was like daamn finally I believe kwamba bongo kuna sheria. Mimi ni muumini nambari one wa sera za Jino kwa Jino mazafantazz U know kuna ushahidi wa kutosha wa mtaani kwamba mtuhumiwa alimuua Ayoub kwa risasi kwenye starehe ukumbi wa Ambrosia ambapo hata mimi sometimes I go there ingawa sijaenda tena toka haya mauaji yafanyike U know, so this pictures are so sweet unaona live and very clear when binadam is made to pay for what wrong he has done to another binadam that cockness na macho man type is gone here you see a hopeless and helpless creature of God facing the music he had never expected to dance in his life utakuta alizoea kuwachezesha wengine music wake but now it is his turn, simuhukumu for anything cause I am not a judge but kwa kifo kilichotokea na mashahidi waliojitokeza kumtaja kwamba ndiye aliyefyatua risasi ile siku to see him struggling na pingu mikononi akiburuzwa kwenye defender la Polisi ya bongo it was so sweet kwa wale tunaopenda Sheria na especially me ninayeamini  in Jino kwa Jino, Salute to Polisi sijui kama hizi picha zilipigwa for what lakini for sure I love them kwani zinafundisha one lesson kwamba hakuna aliye juu ya gademu Sheria in bongo you kill you pay for mazafantazzz!!, tizama picha ya marehemu siku aliyopigwa risasi na kufa hapo hapo na chini ona the mazafantazz akihangaika na pingu saafi sana!!  - Le Mutuz
Add caption









0 comments:

Post a Comment