- Kennedy E. Ndosi, Yudhathif Hajj, Junior Miraji Mwang'ombe and 1205 others like this.
- Junior Miraji Mwang'ombe jamani amevaa kwenye party angevaa hivyo halafu akatembea mitaani sawa hivi watu wakiona mbelez mtu utapagawa mbona kavaa vizuri huyo
- Junior Miraji Mwang'ombe but kavaa kwenye party ulikataka avae dera???? ha ha ha ha le mbebez ana upajaz
- Junior Miraji Mwang'ombe Kaa kwenye kiti nikupe maji ya kilimanjaro maanake ndio kwanza picha zina anza kushushwa
- Bahati Barton Watu bwana,mtu kavaa usiku kwenye party mnachonga,mlitaka avae vikoi?kila mtu na maisha yake tena mavazi si tabia
- Junior Miraji Mwang'ombe Agiza kreti la nanihiiiii bariddiiii nalipia mimi umepatia kabisa ukienda roma fanya kama warumi bidada ana upaja @bahati
- Bahati Barton Ndo dawa yao una upaja usio na kovu mtu ushindwe kujiachia watajijua wanaochonga wapo nyuma kimawazo @junior
- Evelyn Munisi #LeMutuzBaharia Na Mie Naja Kesho Kupiga Picha Ila Ntavaa Baibui Kininja Kabisa Naachia Macho Tu Halafu Wakosoe Tuone Lipi Jema Kwao
- Mazinde Cj Wapenda maadili kama mie.akipita kwetu bila shaka tngemchania na angejuta.unajua mambo mengne ya ulaya hayapaswi kuigwa africa.
- Kennedy E. Ndosi Le Mutuz Fanya yako kaka..kila mtu ana yake..ya kwao wameyamaliza??Le Mutuz ktk jamii yetu wasiojua mambo ni wengi kuliko wanaojua,hivyo in everything ktk jamii ya aina hii lazima kuwepo na criticisers wengiii...Go on bro..100..100..U know..
- Jozee Lewang Kwa kweli mimi nitavaa dera nitakuja kupiga picha mmmmmmh ivyoooo ni shidaaaaaaaaaa@le mutuz
- Shimilimana Zindutse Mmmmh ila hata kama ni part ya usiku hapana icho kivazi kimepitiliza bwana sometimes tuwe tunaangalia na mila zetu hadi zamani walikuwa wanavaa nguo fupi but these is to much hapana hapa ni bongo sio mbele vitu vingine tuache fashion ipite tunavaa nguo fupi lakini icho kimini tu much jamani
- Anna Bahigana This is a free World jamani...kila mtu ana haki yakufana yake..ilimradi havunji sheria......14 mins ·
- 2 mins ·
Tuesday, August 5, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


















0 comments:
Post a Comment