Wednesday, August 20, 2014

@ Le Mutuz Live Straight Talk!!:- Huko Instagram leo kuna mtu kama kawaida le mburulazzzz kaingia Choo cha kike,
eti kamponda Rais wetu Dr. JK kwa sababu amepiga Selfie na wananchi kumbe ni mburulazzz hajui kwamba hata Rais wa Dunia naye huwa anapiga Selfie halafu jamaa ni Agent wa Mitandao wa Chadema kila kukicha kuandika ujinga sasa leo kakosea step kaingia choo sio kudadeki, ona hapa picha za Mkareezz wa Dunia anakula Selfie ina maana huko Chadema hawataki wananchi wapige selfie kwa hiyo watumiaji wote wa Selfie musiwape kura when the time scomes maana si umeona mtu wao wanayemtuma anavyowachafua kwamba eti kupiga Selfie ni kushuka thamani chama cha mburulazzzz unawezaje kutukana Selfie na ndio the hype ya dunia sasa hivi, mnakuja mjini watuwazima hata kujifunza mambo ya mjini hamjamaliza unaaanza kuponda usiyoyajua poleni sana Selfie ndio mambo ya kisasa people okeeeeeyyyy!! - Le Big Show




0 comments:

Post a Comment