Uchina imepinga uteuzi wa wazi wa kiongozi wa mji wa Hong Kong ifikiapo mwaka 2017.
Wanaharakati wa Demokrasi Hong Kong
Kamati ya baraza la kitaifa nchini humo imetangaza kwamba wagombea wote
wanaowania wadhfa huo ni sharti waungwe mkono na kile ilichokitaja kuwa
kamati ya uwakalishi mkubwa.
Wanaharakati wa demokrasi katika mji wa Hong Kong ambao ulikabidhiwa
Uchina na taifa la Uingereza mwaka wa 1997 wanajianda kufanya maandamano
dhidi ya uamuzi huo wa BeijingAwali katika eneo jirani la Macau jopo la Beijing linaloungwa mkono na
serikali ya Uchina lilimchagua kwa mara ya pili Fernando Chui kuhudumu
kwa miaka mitano kama kiongozi wa eneo hilo
0 comments:
Post a Comment