Nchini marekani kikundi cha familia kinatarajiwa kupeleka mashtaka
mahakamani dhidi ya vyama sita vya mpira wa miguu ,pamoja na shirikisho
la mpira wa miguu duniani FIFA,kwa lengo la kutaka uboreshwaji wa sheria
za usalama michezoni.
Mashtaka hayo ambayo yamefunguliwa katika mahakama moja mjini
California,yanadai kua Fifa haijafanya lolote kuzuia ajali za kichwani
pindi wachezaji wawapo michezoni.katika kile walicho pendekeza kama
sheria mpya,watoto walio chini ya umri wa miaka 17, wanapaswa kuupiga
mpira kwa kutumia kichwa mara kadhaa kwa hesabu maalumu ambayo inapaswa
kuwekwa na mchezaji asizidishe kiwango.
Lakini pia watoe ruhusa ya muda mbadala ya kuwafanyia uchunguzi wachezaji kama wamepata madhara kichwani
Lakini pia watoe ruhusa ya muda mbadala ya kuwafanyia uchunguzi wachezaji kama wamepata madhara kichwani
0 comments:
Post a Comment