Wednesday, August 13, 2014

Wakazi wa mji mwema makambako pichani wakiwa wamekusanyika katika eneo la tukio hilo mezani ni tunguli a.k.a (Kipembe)

Tunguli yenyewe ndo hii ikiwa kwenye meza ya biashara
Jamaa akiwa anapasua tunguli na shoka huku panga likiwa pembeni.

Na Mathiass Canal, Kwanza Jamii-Makambako
Mama mmoja (jina tunalihifadhi) mkazi wa makambako amekutwa akifanya biashara huku pembeni yake chini ya meza ya mbogamboga kukiwa na Hirizi/tunguli kwa ajili ya kuvutia wateja, hata hivyo mama huyo alipotafutwa na kwanza jamii ili kuzungumzia tukio hilo hakuweza kupatikana hiyo ni baada ya wananchi kuzingira sehemu yake ya kazi.

0 comments:

Post a Comment