Saturday, August 2, 2014

Baadhi ya watuhumiwa wa ugaidi wakiwa chini ya ulinzi katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha leo.
Jeshi la polisi lilikuwa gado kila idara.


Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa.
Ndugu wa washitakiwa wakitoka mahakamani.


WATUHUMIWA19 wa milipuko ya mabomu jijini Arusha leo wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi na kusomewa mashitaka ya mauaji, kula njama na kushawishi, ugaidi huku wakitakiwa kutojibu chochote. Kesi yao imeahirishwa na itatajwa tena Agosti 15, mwaka huu.
Credit:GPL

0 comments:

Post a Comment