Tuesday, September 16, 2014

Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ akiwa ndani ya ofisi za Global.

SORY! STAA WA FILAMU BONGO, LULU SEMAGONGO ‘AUNT LULU’ AMEFUNGUKA KUWA SKENDO YA KUJIHUSISHA YA VITENDO VYA KISAGAJI INAYOMUANDAMA IMEMSABABISHIA MSALA MKUBWA KWA MAMA YAKE NA KUAMUA KUMUOMBA RADHI.

Akizungumza na paparazi wetu, Aunty Lulu alisema mama yake ana ugonjwa wa presha hivyo amejirekebisha katika eneo hilo ili asiweze kumkwaza tena mzazi wake huyo.SOMA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment