Ushuhuda wa huyu dada inawezekana ukakufumbua macho na kujua wapi sehemu sahihi ya kuelekea na kujua nini unachotakiwa kukifanya kama umeshaanza kujiandaa safari ya kwenda Dubai.
Wimbi kubwa la ukosefu wa ajira nchini bado ni tatizo kubwa ambalo hupelekea wengine wanaposikia kuna kazi sehemu huamua kwenda moja kwa moja kufatilia kuhusu ajira hiyo.
Gea Habib ameongea na msichana huyu amabye kiasili yeye ni Mwenyeji wa Moshi na amesimulia stori yake nzima na vitu walivyokuwa wanafanyiwa wakati yupo huko Dubai.

Kweli ni mateso wanayopata dada zetu makubwa sana mpaka hayaelezeki.mimi ni mtz naishi huku dubai nimeshawasaidia dada zetu sana kwa matatizo hayo.na hawana pa kukimbilia wanadai wakimpigia balozi au msaidizi wake hawapati msaada wanamuona balozi na msaidizi wake kama wapowapo tu..gea unaweza kunitafuta kwa email yangu nikupe taarifa vizuri ... bongotunakuzimia@yahoo.com
ReplyDelete