Posted by Williammalecela.com on Saturday, September 27, 2014
 |
Mfuko wa Bonnah Education Trust Funds unaosomesha Wanafunzi wetu wenye akili na waliopasi Shule zao lakini hawana uwezo kabisa wa kujilipia mahitaji ya Shule kama ADA na MAHITAJI mengine kwa ajili ya kuanza KIDATO CHA KWANZA nchini, unatazamiwa kufanya Fund Raising au Harambee ya kuchangisha pesa hizo siku ya Jumamosi hii Tarehe 27/9/2014 Serena Hotel kuanzia Saa Moja Jioni, Wote mnakaribishwa tusaidie watoto wetu wenye akili na uwezo wa kusoma lakini hawakubahatika kuwa na wazazi wenye uwezo wa pesa japo kidogo tu za kusomea Sekondari.
|
 |
| Mkurugenzi Mkuu wa Bonnah Education Trust Fund Diwani wa Kipawa (CCM) Mh. Bonnah Kaluwa. |
0 comments:
Post a Comment