Tuesday, September 30, 2014


"Natoa pole zangu nyingi kwa ndugu zangu wapendwa wa Ruvuma .kwa majanga makubwa yalio wapata watu 234 waruhusiwa kutoka Hosp ya peramiho na wengine 60 bado wamelazwa.Baada ya kunywa pombe .ugimbi wenye sumu..poleni sanaa.."

Source!!:- Facebook

0 comments:

Post a Comment