-POLIS WAITWA KUTULIZA HALI YA HEWA
-NJE YA WANACHAMA HAI 586, NI WANACHAMA 28 TU WAHUDHURIA
-SOLOMON CRIS AULIZA SWALI KUHOJI UHALALI WA MKUTANO MKUU KWA KUKOSA 2/3
Hamza Mwamoyo Menyekiti wa Boar akihoja uhalali wa uchaguzi kwa kutokutolewa report ya fedha
Hapa ni baada ya Solomn Cris kuuliza maswali yaliyo kosa majibu na uongozi wa jumuia kuanza kumshambulia
Solomon na Dotto wakisema mkutano huu mkuu ni batili kwa kukosa 2/3 ya wanachama hai 586
Solomn Cris na Dotto wakiwa na Polis ambapo mwisho wa maongezi waliombwa kuondoka ili kuzuia shari
Wengi bado wanaupinga uongozi wa Jumuia ya DMV kwa kukosa uhalali
Hapa ni baadaya ya watu wengi kutawanyika
Bado hakieleweki; watu wametoka nje










0 comments:
Post a Comment