Friday, September 12, 2014

Kazi ya uokoaji ikiwa inaendelea na kuzima moto
Usalama ukiwa umeimarishwa

Kasi ya kuzima moto ikiongezeka
Kila mmoja kwa jitihada zake anafanya kazi ya kuokoa
Gari la zima moto likiwa linafanya kazi ya kuzima moto huo
Kila mmoja anafanya kazi ya kuokoa

Ulinzi umeimarishwa

Pia kwa  Gari la kubebea wagonjwa lipo

Kwa Taarifa za awali kutoka kwa Mashuhuda wanadai kwamba chanzo cha moto huo ilikuwa ni Hitirafu ya umeme...
PICHA ZOTE NA BLOGS ZA MIKOA/DAR ES SALAAM YETU BLOG

0 comments:

Post a Comment