Posted by Williammalecela.com on Saturday, September 27, 2014

Msanii Davido kutoka kule Nchini Nigeria amefunguka juu ya habari zilizokuwa zikizagaa kwenye mitandao mbalimbali ya habari nchini humo juu ya kufanya collabo na wasanii kutoka marekani kama Rick Ross,Trey Songz,Asamoah Gyanpamoja na msanii D’Prince na wengine wengi tizama video hii kuthibisha hilo
0 comments:
Post a Comment