Posted by Williammalecela.com on Friday, September 19, 2014
 |
Viongozi wa chama cha Frelimo kutoka nchini Mozambique mapema jana
wametembelea makao makuu ya CCM hasa kwa lengo la kukutana Makamu katibu
mkuu wa chama mh Mwigulu Nchemba ili kupata Ushauri katika kipindi hiki
cha kampeni zao za uchaguzi mkuu utakaofanyika mapema desemba mwaka
huu.
Wakiambatana na balozi wao Nchini Tanzania Kamati
kuu hiyo chini ya binti Mondlane ambaye ni mtoto wa muhasisi wa chama
hicho wamemteua mh Mwigulu kuwa mlezi wao pia watakutana na wana
msumbiji waliopo hapa Nchini kwa ajili ya kampeni. |
0 comments:
Post a Comment