Posted by Super Malecela WJ Blog on Monday, August 12, 2013
 |
| Balozi
wa Tanzania Umoja wa Mataifa akimtabulisha Mkurugenzi na Mmiliki wa
Delina Groups Inc. ya Tanzania, Super Mogul Davis Mosha kwa wananchi wa
Tanzania wanaoshi Mjini New York City,USA katika sherehe kubwa sana
iliyofanyika nyumbani kwa Balozi huyo Mheshimiwa Manongi, katika
Kitongoji cha Mount Vernon, New Yrok the former home of Le Mutuz Big
Shoow. |
 |
| Sherehe
hizo za Eid na mapokezi ya Mkurugenzi wa Delina Group Inc. Super Mogul
Davis Mosha, huko New York City/USA pia zilihudhuriwa na Balozi wa
Tanzania nchini Switzerland Balozi Mero ambaye pia alitoa machache kabla
ya kumkaribisha rasmi Super Mogul kuongea na wananchi. |
 |
| Kabla
ya kuzungumza na wananchi hao waliokuwa wamemsubiri kwa muda mrefu sana
The Super Mogul Mkurugenzi wa Delina Groups Inc., Davis Mosha
alikaribishwa na pia na Balozi Mdogo wa Tanzania Umoja wa Mataifa huko
New York City/USA, Mheshimiwa Mwinyi. |
 |
| Hatimaye
ilikuwa zamu ya Super Mogul Mkurugenzi wa Delina Groups Inc., Davis
Mosha kuzungumza na wananchi hao wa Tanzania walioko New York City,
Davis Mosha ambaye pia ni Mmiliki wa Delina, yupo nchini Marekni na
mtoto wake Edgar kwa mapumziko karibu mwezi mzima sasa, safari ambayo
pia imemfikisha miji kama Los Angeles na Texas. Kabla hajaenda huko
Marekani, pia alipitia London/UK ambako pia mtoto wake Edgar alipata
nafasi ya kufanya mazoezi ya majaribio ya mpira katika timu maarufu ya
Chelsea FC. |
0 comments:
Post a Comment