UMEWAHI KUJIULIZA KWANINI WATU WANAOUMIZA MIOYO YETU SANA NI WATU WA KARIBU?.
1.Aliyemdanganya Adamu kula tunda alikuwa ni mtu wa KARIBU (Hawa).
2.Samsoni alianguka dhambini baada ya kudanganywa na mtu wa KARIBU (Delila).
3.Yesu alisalitiwa na mtu wa KARIBU (Yuda).
4.Yusufu aliuzwa Misri na watu wa KARIBU (ndugu zake wa damu).
5.Habili naye aliuawa na mtu wa KARIBU (Kaini).
6.Esau alidhulumiwa haki yake ya mzaliwa wa kwanza na mtu wake wa KARIBU (Yakobo).
7.Mara nyingi wajane/yatima hudhulumiwa mali na watu wao wa KARIBU.
EBU WANGALIE WALIO KARIBU NAWE WAKOJE?..
Muweke Mungu awe wa karibu yako kuliko binadamu, maana wanadamu hubadilika lakini MUNGU habadiliki.. Ni yeye yule jana, leo na hata milele. Naibariki jumapili yako leo na ninawaombea wale walio KARIBU nawe, waoneshe upendo wa kweli kwako. Sema "Amen" km unataka kupokea baraka hizi.!

0 comments:
Post a Comment