Posted by Williammalecela.com on Tuesday, September 02, 2014
 |
| Farida
Mallya akitoa shukrani mbele ya ndugu na marafiki waliojitokeza kwenye
sherehe yake ya siku ya kuzaliwa iliyofanyika nyumbani kwake. Farida
alikuwa mwenye furaha kwa kuona marafiki waalikwa wameitika wito wa
mwaliko wake na kufanikisha sherehe hiyo. Marafiki walikula, kunywa na
kucheza music, Music uliokuwa unangurumishwa na ma Dj wenye bora kutoka
New York na DC. |
Farida na mchumba wake wakifungua music mbele ya marafiki kwenye sherehe hiyo
Farida akipata ukodak pamoja na familia yake dada yake na mume wake na watoto wa dada yake. Kwa Picha zaidi nenda soma zaidi.
 |
| Mmoja ya wageni waalikwa nyumbani kwa Farida, Picha hizi zimepigwa na www.Tembaphoto.com |
0 comments:
Post a Comment