namsaliti.”Meninah “Unajua kitendo hicho hatamaye kinaniudhi naona mtu yupo na mpenzi wake halafu anamsaliti. Najua hicho ni kitendo ambacho kila mtu hakimpendezi. Kwahiyo wanaamua kunitengenezea chuki na maadui kupitia njia hiyo. Labda wana wasanii wao, sasa wanaona tukiingia kwa njia hii tutaweza kuamharibia Diamond. Ndioa siku zote nimekuwa kimya tu ila sina mahusiano na Meninah. Mie nikiwa na mtu huwa sifichi naweka wazi kabisa. Hata kama leo nimeachana na Wema nasema tu, why nifiche? Mie katika mambo yangu huwa simuogopi mtu kama ningekuwa nataka kuoa basi ninge weka wazi why nifiche?? MSIMAMO WANGU➡1.SITAONGELEA TETESI ZA HAYA MAHUSIANO SBB MAPENZI HAYAINGILIWI..2.SITAPIGA KURA WALA SITAPROMOTE UPIGAJI KURA KWA DAI MPK WEMA ATAKAPOFUNGUKA! 3.UKIMKASHFU WEMA SITAKUACHA!!�� From ma bebe @usipojipangantakupanga
Sunday, September 28, 2014

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment