Wednesday, September 10, 2014

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Ali li Iddi Siwa katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea  hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania Mhe. Eugene Segore Kayihura katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment