Tuesday, September 2, 2014


"Hivi wewe unataka nikufanyeje sasa??? Kwa nini unani stalk mimi jamani wewe sio rafiki yangu na wala sikujui kwanini unanifatafata lakini... Unalalamika umeitwa ngedere kwani wewe ni ngedere???? Sasa nakuchukulia restrain order maana naona uko obsess sana na mimi... Si ukae kwako uleee familia yako jamaniiiiiii.... Nonsense huna life eeh......."



0 comments:

Post a Comment