Sunday, September 21, 2014


Marehemu Kanumba.

IMEVUJA! Kuvunjika kwa Kundi la Bongo Movie Unity kumedaiwa kuwa ni laana ya aliyekuwa memba hai wa kundi hilo, marehemu Steven Kanumba kutokana na kumnyanyapaa enzi za uhai wake, mchapo kamili huu hapa.

Kwa mujibu wa chanzo makini, Kanumba alikuwa ni miongoni mwa waasisi wa kundi hilo lakini kabla hajafa, yaliibuka majungu ambayo yalimsababisha ajiengue na kususia kundi hilo huku akiwa na kinyongo moyoni.
Wakilia juu ya kaburi la marehemu Kanumba.

0 comments:

Post a Comment