Posted by Williammalecela.com on Saturday, September 13, 2014
 |
| Dunia ni ndigi sana majuzi nilikwenda kwa baba mzazi wa one of my Instagram Friend kushiriki misa ya kumkumbuka mama yake mzazi aliyefariki tarehe kama ya juzi just to find out kwamba hii ni familia moja na Marehemu Pendo, niliyemsaidia sana nikiwa Mbelezz New York alpokuwa hai na alipoanza kuumwa Kansa ya ziwa mpaka kufariki kwake I was shocked waliponiambia kwamba Marehemu aliwaambia sana kuhusu mimi kabla hajafa na yote mema niliyomfanyia I mean I was like this is just too much to take maan U know!! |
0 comments:
Post a Comment