Le Big Show last night at Kempisk Hotel for Miss Redds Ilala 2014, kwa mara nyingine tena I made a record and a history kwa kujaza ukumbi wenye capacity ya watu 350 nilingiza watu 400 na kuwakatalia wengine 50 kwa sababu ukumbi usingetosha agin naomba kuwaomba radhi wale wote mlioshindwa kuingia baada ya kusimamisha zoezi Saa Tano usiku!!
- Lakini naomba kuwashukuru wote mliokuja kunipa support hasa mabebez U know I luv U more sasa my next project ni Instagram Party Mwanza Tarehe 4/10/2014 tukutane huko people!! - Le Mutuz


0 comments:
Post a Comment