Wednesday, September 24, 2014

johari

Jamani Johari anaomba mumuelewe na mumsome hataki kusingiziwa na hajawahi kuwa kimapenzi na Ray, watu mnielewe , mimi na Ray tuna company ya kutengeneza movie na si la zaidi naomba mnielewe na hiyo topic iwatoke mdomoni kwenu....


  1. sina mengi zaid ya kukuambiaa dada una stress......alafu hivyo vijembe huko insta vya kiswaz hebu achaa bhaaana ,ushazeeeka jaribu kufanya ya rika lako mdada !fanya kazi tafuta bwana tuliaa ushakuwa story naomba ujitahid usije kuwa historiaaa kibo ka nkekuui kikiii roo nyiiiiraa???

    Reply
  2. Kunawimbo wa Victoria kimani kaimba na Daimond na Ommy dimpoz, aisee nimzurii Diamond kaimba chorus vizuriii, utadhani c yeye,. Huyu Johari na uyo mwenzie watajijua wenyewe,,, wawewametiana au hawajatiana, mimi binafsi naona hayanihusu kakwelii nayangu kibaoo yamenigandaa.
    Reply
    Replies
    1. NDITO UNAYAKO KIBAO YAMEKUGANDA SIUYATATUE HUKU UNAFATA NINI ????WALO BUSY WAKO MAKAZINI AU VIBARUANI.
      WENYE KULEA WAKO NA WATOTO WAO .
      WEWE MWENYE YAKO SIU FANYE YAKO .
      USITAFUTE UMAARUFU WA JINA HAPA .
      MBUTAAAAA
  3. msinichoshe mie aaaaahhh
    Reply
  4. Mabigiiiii......kupatwa kwa jua......
    Reply
  5. Tatizo wanapenda kujitangaza,si walikua wanaandikwa wapenzi miaka michache ilopita? Mara niachien ray wangu,mara wakufa na kuzikana.vipi na mainda nae anasingiziwa? Jamani msiwe mnajitapa na hao wanaume cha wote, bora mfanye yenu kimya kimya.mnajitangaza wee mwisho wa sku gumegume linaenda kuibua mwingne unabaki kuumia tu. Uzuri una kazi nyie pigen kazi tu,tulia utapata wako.maana wanaume ndio hao pasua kichwa.na kama hakuwahi kuwa wako usijipe presha.maneno hata kwenye kanga yapo,na huez zuia mtu asikuseme.
    Reply
  6. Johari acha uongo ugomvi wako na Mainda kisa kilikuwa kumgombea Ray na ugomvi wako na Chuchu Hans kisa ni Ray sasa vipi leo useme hakuwa mpenzi wako? bora ungenyamaza tu kuliko kujidharirisha na kama Ray hakuwa mpenzi wako mbona alikutwa katoka kuoga kwenye bafu lililopo chumbani mwako kipindi kile upo mapenzini na Hartman acha kutudanganya
    Reply
  7. Asa na chuchu mlitwangana kwa nini
    Reply
  8. Hata kama alikuwa na uhusiano naye atasema? au ni maneno ya mkosaji? ok nakuombea upate mume mwema huyo ray na yale matatoo inahuu? nachukia sana mtu anayechora tatoo nyingi kama ray uchafuuuu
    Reply
  9. uyu nae skuiz kawa mbaya mmh anampenda ray mpaka anaumwa pole yake angetfta tu mme wa kumuoa ray atakaa aje amuoe ila uyu dada anakipaji jaman apo tu ndo nnapompendea
    Reply
  10. Hawa nao hawajielewi. Hata kama hatujui kusoma, picha inatupa hali halisi.
    Reply
  11. Johari!! Wacha uongo, or kaa kimya pia hilo ni pia ni jibu.
    Reply
  12. Hee! Mabwaku haya, awadanganye nyie msioelewa hii movie. Mxiiiiiiiieew
    Reply
  13. jamani mliona nirvana jana ya lulu hongera kwa nyumba na mambo mengine ila my little dia lulu kiingilishii jamani achana nacho unapofanya interview mana kumalizia ni shida kwenye interview tu mama halafu mbali ya kujua kuvaa pata tip kwenye magazine na kwengineko about fashooooooooonnnn mpenzi ni kama hujui kujieleza abt fashooooon mama c kwa ubaya ni hayo tu ila mambo c mabaya kabisa uko vizuri.
    Reply
  14. jamani kuna wimbo umeimbwa na mdasa anaitwa Hush babe unaitwa Niamini nimeusikia jana nikajumlisha na timbwili linaloendelea kwenye mahusiano yangu hadi nikatoka machozi.wanaume wanatesa sana kama hayakukuta usiombe yakukute.
    Reply
  15. Mxiiiiiuuuuu zako we Johari,unatafuta kukumbukwa maana tushakusahau,huyo ray alikuwa libaba lako mkawa mnamgombania we na Mainda,mwishowe Chuchu hans kabeba mzigo..
    Vp yule mzungu wako ulikuwa wamfuata canada???
    Reply
  16. Kuna siku nilitoa ushauri WA kufunga siku Saba kwa jambo lolote gumu,ilikuwa Kuna mtu anaomba ushauri kaporwa mchumba,Kuna mtu akajibu Nisimshirikishe Mungu kwenye uasi,nilishangaa Sana,yule alieomba ushauri hakuna sehemu aliyoweka wazi alikuwa anafanya matusi na huyo mchumba,Leo nakuja na ushuhuda WA kufunga,nimefunga kwa ajili ya mtoto wangu,kamaliza darasa la Saba!amefanya interview kwenye shule moja nzuri Sana,watoto walikuwa 600 wakachaguliwa 120 akawemo,na Ni shule ya kanisa na mwanangu muislam,na wanachagua kwanza waumini wao,Kisha waislam wachache Sana,Kati ya waislaam 2 waliochukuliwa na mwanangu Yuko,sasa wewe endelea kubisha kuhusu kufunga.
    Reply
  17. hahahaa ndito umenifuraisha sana hlf we binti wa kikwere johari hajawai toka na hartmann alitoka na mcdonald ambaye walimdhurumu yy na ray wakaanzisha hyo kampun yao
    Reply
  18. Khaaaa huyu nae na uzee huyu bado anatafuta kik tuuu....kweli uzee mwisho chalinze mjin kila mtu bebi.....sasa ndo kaongea nn hapo aaarrgghhh ndito miss u
    Reply
  19. Mungu tu akujalie johari upate mtoto uwe busy kumlea kuliko kuwa busy na huyo vincent kigovi. wewe mkongwe ujue
    Reply
  20. OUT OF TOPIC
    Jamani ile kauli ya nora naona ishaanza kumletea kizazaa.Anapigwa maneno makali mara bibi.mara alishauguaga zamani.Maskini Dah.Salama kamchuza kweli mwenzie

0 comments:

Post a Comment