Friday, September 19, 2014

Diamond-Wema-Hong-Kong--slide-vibe-co-tz
Hivi ni vitu ambavyo inabidi tu tuwaachie Diamond na Wema waendelee kufanya yao, wengine wabaki watazamaji tu, afterall siyo kila mtu yuko kwenye movie yao ambayo bado inaendelea, hii ni moja ya celebrity couple inayopendwa na watu wengi zaidi nchini Tzee na nje, ila kwa haya wayafanyayo, hutakuja kuona couple wowote hapa tzee wakifanya haya wanaofanya yao, labda huko nchi za wengine ila kwa hapa Bongo, ni Wema Sepetu tu na Diamond Platnumz ndio wanayoweza.
Kudai kutengeneza movie ambayo haijatoka hadi leo”Temptation”Kati ya vitu ambavyo si rahisi cople wengi kukuta wanafanya pamoja ni movie, ila kwa hili la wapendanao hawa ni noma zaidi, ndio moja ya celebrity couples ambao wamewahi kudai kucheza movie wakati walipokuwa wameachana, ili tu wawe karibu pamoja, ikiwa inasemekanailikwenda kufanyiwa shooting nchini China, na ikiwa nimwaka wapili huu sasa wamesharudiana, na movie hiyo haijakamilika bado,huku ikibakia msemo tu “Acha movie iendelee”.
Kuachana na kurudiana zaidi ya mara mbili.
Diamond-na-Wema-Sepetu-now-and-then-vibe-co-tz

0 comments:

Post a Comment