Mkuu wa baraza la kamati ya mahusiano ya Marekani
ameiomba nchi yake kupeleka silaha Ukraine ili kukabiliana na
kinachodaiwa uvamizi unaofanywa na Urusi.
Robert Menendez amesisitiza Umoja wa Ulaya kutoa silaha za kivita kuisaidia Ukraine ili iweze kujihami dhidi ua Urusi.
Wito huo umekuja huku Rais Putin wa Urusi akiita
majadiliano ya haraka kuhusiana na mwa Ukraine kama nafasi ya kufanya
makubaliano ya kusitisha uhasama wao.
Kauli ya Putin inakuja ikiwa ni siku moja kabla
ya mazungumzo yatakayofanyika huko Minsk kati ya Ukraine na Urusi
kujadili machafuko hayo
0 comments:
Post a Comment