Blac Chyna ni rafiki yake kipenzi wa Kim Kardashian na pia ni mama mtoto wa rapper Tyga. Mdada huyo ambaye
zamani alikuwa ni stripper, amekuwa ni gumzo kwa muda mrefu kutokana na
makalio yake ambayo watu wengi wanasema ni ya bandia yaani fake.
Lakini mrembo humbo ambaye kwa sasa ni model, alikanusha uvumi huo na kusema makalio yake ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Yaliyojiri hivi karibuni, ni kwamba
makalio hayo yalianza kuporomoka taratibu wakati anatembea na alipigwa
picha akijaribu kuyafunika na sweta.


0 comments:
Post a Comment