Monday, September 15, 2014

Msanii wa Bongo Fleva Shetta akiwa ndani ya ofisi za  Global.

WASANII WENGI WAMEMSAHAU MWENYEZI MUNGU, NI KAMA HAWANA DINI, MSIKITINI WALA KANISANI HAWAPAJUI. JE, WEWE SHETTA NI MMOJAWAPO? JOEL LUHWAGO, DAR, 0752775325

Shetta: Mimi nina dini yangu na huwa sikosi msikitini.ALIYEMVUTIA
Shetta ni nani aliyekuvutia kuingia kwenye gemu la muziki ingawa staili ya uimbaji wako inafanana na msanii Black Rhino? Euro, Dar, 0719192910
Shetta: Nilivutiwa na wasanii wengi sana wa zamani kama Profesa Jay na wengine kibao.
NJE YA FANI
Hivi Shetta mbali na muziki unajishughulisha na nini? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
Shetta: Ninafanya biashara.
MAFANIKIO
Shetta kiukweli wewe ni msanii mzuri kunako gemu la Bongo Fleva, je, unazungumziaje mafanikio yako kuhusiana na muziki tangu ujikite miaka minne iliyopita swahiba wangu? Salim Liundi, Dar, 0659601205
Shetta: Maisha ni mazuri na mafanikio yapo mengi ikiwa ni pamoja na maisha yangu kubadilika kutoka chini nilikokuwa mpaka hapa nilipo sasa.ENDELEA>>

0 comments:

Post a Comment