Sunday, September 7, 2014

2Bondia Hamad Mbonde wa Magereza kushoto akipiga ngumi bila matumaini yoyoyo na mwenzake Said Kassimu  wa Amana akimpiga konde la kulia wakati wa mashindano ya kumi bora yanayoendesha na chama cha ngumi za ridhaa mkoa wa Dar es salaam kila jumamosi katika ukumbi wa Manyara Park Tandale CCM Manzese picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com3Bondia Said Kassimu wa Amana akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi4Mabondia Shabani Mohamed wa JKT kushoto akipambana vikali na Uwesu Hamadi wa Temeke wakati wa mashindano ya kumi bora ngumi za RIdhaa yanayoandaliwa na chama cha ngumi mkoa wa Dar es salaam na kufanyika kila jumamosi katika ukumbi wa Manyara Park CCM Tandale Manzese Dar es salaam Mohamed Alishinda kwa point mchezo huopicha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment