Monday, September 15, 2014

Mashabiki wa Yanga SC wakifurahia jana Uwanja wa Taifa wakati wa mchezo wa Ngao ya Jamii baina ya timu yao na Azam FC. Yanga ilishinda 3-0.
Aliyekuwa shabiki wa Yanga SC, Steve kulia akiwa na jezi ya Azam jana kuashira amehama timu. Umaarufu wa Steve ulikuja baada ya kulia kufuatia Yanga SC kufungwa 5-0 na Simba SC mwaka juzi
Mashabiki wa Azam FC jana
Shabiki la Azam kwa raha zake jana Taifa
Shabiki la Yanga SC jana Taifa

0 comments:

Post a Comment