Kijana mmoja kutoka Nigeria aliyefahamika kwa jina la Michael Jaja(22) ameamua kujirestisha In Peace baada ya mwanamke aliyekuwa akimlea wanaofahamika kwa jina la shuga mami(48) kumtaka wavunje uhusiano wao kutokana na ujio wa ghafla wa mume wake ambaye alikuwa akiishi nje ya nchi kwa miaka kadhaa.
Katika Picha ni Michael Jaja na Mwanamke aliyekuwa akimpa jeuri (Shuga mami) wakila bata Dubai.SOMA ZAIDI>>
0 comments:
Post a Comment