![]() |
"Rais
wetu wa 2015 ni lazima awe ni mtu anae ijua nchi vizuri. Lazima awe ni
mtu mwadilfu, mkweli, jasiri na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi sahihi
kwa mustakabali wa Taifa letu.
Lazima ajue nchi ilipotoka, ilipo na watanzania tunapo taka iende! Urais wa Tanzania haiwezi kuwa nafasi ya majaribio wala haiwezi kuwa nafasi ya utani utani!"
Lazima ajue nchi ilipotoka, ilipo na watanzania tunapo taka iende! Urais wa Tanzania haiwezi kuwa nafasi ya majaribio wala haiwezi kuwa nafasi ya utani utani!"

0 comments:
Post a Comment