![]() |
![]() |
Kama kawaida mzee mwenyewe huwa najiacjia na marafiki, mashabiki yote ni kuambaza upendo na kudumisha undugu zaidi, angalia picha za jiachie na Ben Kinyaiya.
Nikiwa na fans wangu wa ukweli..
Nikiwa na mwimbaji mahiri wa Bendi ya Mashujaa, Chalz Baba na mkewe ambaye inasemekana juzi alimshushia kipondo cha wivu ila kwasasa wameyamaliza kiroho safi na jana tulikula Bata pamoja.

0 comments:
Post a Comment