Thursday, September 4, 2014


Na Issa Mnally na Richard Bukosi

SHABAASH! Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Hamis mkazi wa Tandale jijini Dar, hivi karibuni alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kumfuma mama yake mdogo akijiuza usiku.
Tukio hilo la kufedhehesha lilitokea usiku wa kuamkia juzi (Jumatano) maeneo ya Sinza Mapambano ambapo mapaparazi wetu walikuwa katika operesheni ya kuwasaka wanawake wanaojihusisha na biashara hiyo haramu.SOMA ZAIDI>>

1 comment:

  1. Ndio maisha ya Watanzania waliowengi, ni shida tu, na dhiki, zinazowakabili watu wa khali ya chini, na huko juu, kumejaa ufisadi

    ReplyDelete