Friday, September 19, 2014

Ukweli haufichiki daima labda kuuchelewesha tu! Ndicho kinachomkuta muigizaji wa kike wa filamu ya ‘Django Unchained’ wa Marekani, Daniele Watts aliyewapa wakati mgumu polisi wa Los Angeles kwa kuwatuhumu kumnyanyasa na kumfanyia ubaguzi wa rangi alipokuwa na mpenzi wake Brian James.
Awali Daniele alisababisha matatizo kwa polisi hao baada ya kuonekana katika picha akiwa analia mbele ya polisi hali iliyoaminika kuwa alikuwa anaonewa.
Lakini TMZ wamepata picha na ushahidi kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye ameeleza kuwa aliwaona Daniele na mpenzi wake Brian wakiwa katika harakati za kufanya mapenzi kwenye gari.PICHA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment