Monday, September 15, 2014

Bw. Ally Musa anyedai kukimbiwa na mkewe(Sauda).

Kweli? Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Ally Musa, mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro anadai kukimbiwa na mkewe aliyemtaja kwa jina moja la Sauda.

Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele lakini mwishoni mwa mwaka jana ndipo alipomkimbia.
Kwenye kitambulisho ni mume wa mtu(Bakari Mohamed) anayedaiwa kuchepuka na Sauda.SOMA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment