Wednesday, September 17, 2014

ney
Nay wa Mitego amesema baada ya kukamilisha ujenzi wa studio yake mpya iitwayo ‘Free Nation Production’ ameamua kumkabidhi producer wake Mr T Touch kama zawadi kutokana na kazi ambayo amekuwa akimfanyia katika muziki wake.
Akizungumza na Bongo5 jana, Nay amesema kuwa ameamua kufanya hivyo baada ya kuona kuwa muziki unazaolishwa na producer huyo unamwingizia pesa nyingi kuliko malipo anayompa.
“Wasanii tuna maproducer ,maproducer wetu tunajuaga kama wamekuwa hawaingizi kipato kikubwa sana tofauti na sisi wasanii,’ amesema Nay.
SOMA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment