Saturday, September 13, 2014

8Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akizu.ngumza na watendaji wa Yanga na wachezaji wakati wa semina hiyo jana9Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akizu.ngumza na watendaji wa Yanga na wachezaji wakati wa semina hiyo jana10Mmoja wa maofisa wa Mfuko wa Bima ya Afya akiwaonyesha makocha wa Yanga baadhi ya picha alizpoiga  nao Kulia ni kocha wa yanga Marcio Maximo.11Christopher Mapunda Meneja wa NHIF Wilaya ya Ilala akitoa mada wakati wa semina na wachezaji wa timu ya Yanga jana.12Baadhi ya wachezaji na maofisa pamoja na wanachama wa Yanga wakiwa katika semina hiyo.13Baadhi ya wanachama wa Yanga wakiwa katika semina hiyo kushoto ni mwanachama wa Yanga Bw Said Hassan Kipara14Katibu Mkuu wa Yanga Bw. Beno Njovu akizungumza katikasemina hiyo kulia niHance John Mwankenja Afisa Matekelezo wa NHIF 15Mmoja wa maofisa akigawa majarida yanayoelezea faida za Mfuko wa Bima ya Afya ya jamii katika semina hiyo 17Ofisa   Mawasiliano mwandamizi  NHIF  Bw. Luhende Andrew Singu akizungumza na wachezaji hao jana wakati wa semina hiyo

0 comments:

Post a Comment