Mh Vicky Kamata (kulia) akimuelekeza jambo kupitia simu yake ya Mkononi aina ya Smartphone Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maswala ya Ukimwi, Mh Lediana Mng'ong'o (kushoto) wakati wa Mkutano wa 24 wa wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF uliofanyika jijini Arusha Mwishoni mwa Wiki.Picha na Josephat Lukaza, Lukaza Blog
Sunday, September 14, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment