STAA wa sinema za Kibongo, Salma Jabu 'Nisha', Jumanne iliyopita alijikuta akizua taharuki kufuatia kuegesha gari lake nje ya Hekalu la Freemason lililopo nyuma ya Hyatt Regency Dar es Salaam The Kilimanjaro Hotel jijini Dar es Salaam.
Taharuki hiyo ilikuja pale Nisha alipoegesha gari lake eneo hilo na kushuka kisha wanafunzi na watu wengine kusitisha shughuli na kumzunguka kutaka kujua kulikoni staa huyo kufika eneo hilo linaloaminika kuwa kila anayekwenda ni muumini wa imani ya Freemason.
Baadhi ya watu walimuuliza Nisha alichofuata kwenye hekalu hilo hukumwenyewe akishindwa kujibu kwani alitupiwa maswali mfululizo.
SOMA ZAIDI>>
Baadhi ya watu walimuuliza Nisha alichofuata kwenye hekalu hilo hukumwenyewe akishindwa kujibu kwani alitupiwa maswali mfululizo.
SOMA ZAIDI>>

0 comments:
Post a Comment