Posted by Williammalecela.com on Tuesday, September 16, 2014
 |
"Hii
imetokea siku chache zilizopita kijiji kimoja Mtwara. Kampuni moja ya
GAS Exploration ikajikuta vitendea kazi vyake vinakwama mpaka wazee wa
kijiji watoe ruhusa ili uchimbaji uendelee.
Wakajaribu kupuuzia na
kuendelea na kazi drilling bit zikawa zinakatika kwenye mwamba. Ikabidi
wazungu wakubali kupigwa kikombe cha bibi na majivu sijui ya nini..baada
ya hapo uchimbaji ukaendelea kiulaaani. I wish hili juju lingetumika
vizuri Watanzania tungekua mabilionea. Juju lipo."
|
0 comments:
Post a Comment