Pistorius amekana kumuua mpenzi wake kwa maksudi
Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar
Pistorius amewasili mahakamamni kujua umauzi wa kesi ya mauaji ya
mapenzi wake inayomkabili.
Jaji Thokosile Masipa ndiye anatayetoa uamuzi huo.
Pistorius huenda akafungwa jela miaka 25 ikiwa atapatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake.
Oscar Pestorius amekana mashitaka ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp katika siku ya wapendanao ya Valentine hapo mwaka jana.
Mwendesha
mashitaka anasisitiza kuwa Pestorius alimpiga risasi aliyekuwa mpenziwe
Reeva baaya ya ugomvi baina yao lakini amejitetea akisema alimpiga
risasi kimakosa akidhani mwizi amevamia nyumba yake
0 comments:
Post a Comment