Saturday, September 20, 2014

 Ni habari mpya ya mjini kwa sasa,ndoa ya Dada wa Diamond na kipenzi wa Wema petiti man wakuache ,amabapo uhusiano wao ulioanza kama utani hatimae  umezalisha kile ambacho wengi hawakukitgemea kama kingekuwa mapema hivi...Tunawatakia maisha mema ya ndoa na baraka tele

1 comment:

  1. Esman Mola akujaalie wewe na mumeo muisimamishe nyumba yenu iwe inara na nguzo za chuma .Hakuna gumu kwa Allah . Na hakuna ndoa mbaya duniani .Nyumba ni nyiny wenyewe .Ishaallah Mola awape mema Duniani na Akhera,Awape wana wema. Awaweke na mdumu mpaka kifooo

    ReplyDelete