Ilikua
ni ndoa ambayo walifunga kwa siri, yani bila kuitangaza kwenye vyombo
vya habari ambapo ishu nzima ilifanyika nchini Ufaransa na kuhudhuriwa
na watu 22 peke yake.
Mmoja wa watu wao wa karibu amesema wawili hawa kwa sasa wako serious
kuhusu uhusiano wao na kuishi pamoja maishani na siku hizi hawana
mikwaruzo ya mara kwa mara kama zamani na wanampango wa kubadilisha
majina na kuitwa Jolie-Pitt.

0 comments:
Post a Comment