Posted by Williammalecela.com on Friday, September 19, 2014
Jana mashabiki walimshambulia Beyonce kwa picha aliyopost kwenye Tumblr ikiwa ni moja kati ya picha za kusherehekea siku yake ya kuzaliwa alizopiga mapema mwezi huu, ikimuonesha akishuka ngazi akiwa ndani ya vazi la ufukweni. Madai ya mashabiki hao yaliyowekwa kwenye mtandao wa TMZ pamoja na picha ni kwamba Beyonce alihariri sehemu iliyoonesha nafasi kati ya mapaja yake ili aonekane mwembamba zaidi.
“Questionable thigh gap there, Bey. #photoshop #wonkystep #beyonce,”aliuliza shabiki mmoja. PICHA ZAIDI>>
0 comments:
Post a Comment