Monday, September 29, 2014

Kuna tetesi kuwa Wema Sepetu na Diamond Platnumz hawapo tena pamoja. Magazeti ya udaku yameandika kuwa Diamond anataka kuoa.. lakini mwanamke anayetaka kumuoa si Wema, ni Meninah! Hatujaweza kuthibitisha ukweli wa tetesi hizo lakini kuna dalili nyingi kuwa hakuna amani tena paradiso.Tetesi za kuvunjika kwa power couple hiyo ya Bongo, zimechochewa zaidi na post ya mafumbo ya Wema Sepetu kwenye Instagram. Katika post hiyo, Wema ameweka picha yenye rangi nyekundu pekee yake na kuandika ‘I shouldve known’.Picha hiyo imezua maswali mengi kwa followers wake zaidi ya 211,133 kwenye mtandao huo unaopendwa Tanzania.

Haya ni baadhi ya maoni: 

modestae68 

@wemasepetu haya mbwa mwitu huyoooo katoka hakuna cha princess sasha,superstar wala ile filam uliyosema unacheza kama mgonjwa wa kansa ukanyoa kipara yaani naumia kuona hivyo wema vp? Acha mambo ya kugawa pesa majukwaani sio wote wanaokushangilia unapopanda ktk majukwaa wengine wanakuzomea hukui? Acha kulewa sifa za team za kukusifia kila ufanyalo yaani sijui niseme nn nikiona wenzio wanavyosonga mbele naumia alafu wewe unaonyesha ufahari majukwaani mmmh kweli hakuna kizuri kinachokosa kasoro haya watakaonitukana poa tu lkn mm wema ni kama mdogo wangu nampenda sana ndio maana namwambia sasa wale waliozoea kutukana tukaneni mpaka mchoke lkn nyie nyie mlikuwa mnasema ktk kampen ya bring our wema hivyo sitoshangaa.mm nitaongea mpaka siku nikiona mabadiliko nafikiri ndio siku nitakayoridhika japo ni kwa faida yake na siyo yangu ila sio mbaya kumwambia mtu kitu chenye faida kwake hata kama huna faida nacho.am still love u wema. SOMA ZAIDI>>.

0 comments:

Post a Comment