Saturday, September 13, 2014

Queen Darleen amekanusha tuhuma kuwa ana mtindo wa kumtafutia mademu kaka yake Diamond Platnumz. Queen amesema kwa heshima aliyonayo kwake, sio rahisi kumpa kazi hiyo.
“Unajua Naseeb miye ananiheshimu sana hata akiwa na wenzake kama alikuwa anaongea ujinga nikiwepo haongei kwakuwa anajua miye ni mkubwa wake,” Amesema Queen 
“Na pia naweza kukaa hata miezi mitatu hatujaonana sasa nashangaa naambiwa namtafutia wanawake. Unajua sasa hivi yeye yupo juu na anafanya vizuri kwahiyo watu wanaongea tu vitu ambavyo hawavielewi.
"Siwezi kufanya hivyo hata siku moja kwani yeye ana maisha yake na uhuru wake na miye pia hivyo hivyo. Basi nisiwe na marafiki wazuri nitaambiwa namuunganishia mdogo wangu! Kwahiyo niwe sasa na marafiki vijuso sasa?
" Lazima watu wajue kuwa Diamond ni mdogo sana kwangu na tunaheshimiana sana siwezi kumpangia masuala ya mahusiano miye yeyote nitakayeletewa na yeye kwangu sawa ili mradi kampenda m

0 comments:

Post a Comment